Stoiber apata kazi mpya Umoja wa Ulaya | Habari za Ulimwengu | DW | 20.11.2007
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Stoiber apata kazi mpya Umoja wa Ulaya

Waziri Mkuu wa zamani wa jimbo la kusini mwa Ujerumani la Bavaria amepata kazi mpya.

Edmund Stoiber amekuwa mshauri wa Umoja wa Ulaya katika suala la kupunguza urasimu katika umoja huo wa nchi wanachama 27.Stoiber atakuwa mwenyekiti wa wataalamu ambao kazi yao itakuwa ni kuzibainisha sheria na taratibu zisizokuwa na ulazima wa kuwepo.

Umoja wa Ulaya unatarajia kupunguza gharama za ur asimu kwa asilimia 25 kufikia mwaka 2012.

 • Tarehe 20.11.2007
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/CJVl
 • Tarehe 20.11.2007
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/CJVl

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com