Kipindi hiki kinaanza na mkutano usio wa kawaida. Zaidi ya hayo, shangazi Lily anamkaripia Safina. Je, ni atahri zipi msichana huyo atalazimika kukumbana nazo? Mkutano wa waandishi wa habari ni wa nini? na polisi wanafanya nini katika uwanja wa michezo? Endelea kusikiliza!