Siku ya Uhuru yatumiwa kufanya usafi Tanzania | Masuala ya Jamii | DW | 09.12.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Siku ya Uhuru yatumiwa kufanya usafi Tanzania

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amejumuika na raia wake kuadhimisha siku ya Uhuru kwa kufanya usafi jijini Dar es Salaam

Sikiliza sauti 03:05

Sikiliza mahojiano yaliyofanywa na Grace Kabogo pamoja na Profesa Bashiru Ali wa chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Sauti na Vidio Kuhusu Mada