Siku ya kimataifa ya utoaji wa huduma za kibinadamu yaadhimishwa leo
19 Agosti 2010Matangazo
Siku ya kimataifa ya utoaji wa huduma za kibinadamu imeadhimishwa leo kote ulimwenguni. Kauli mbinu ya mwaka huu ni "Mimi ni mfadhili, mtu mwenye huruma au ukipenda msamaria mwema." Josephat Charo amezungumza na Bi Luluwa Ali, afisa wa shirika la Umoja wa Mataifa linaloratibu misaada, la OCHA, mjini Nairobi Kenya, kuhusu siku hii ya leo na kwanza alikuwa na haya ya kueleza.
Mwandishi: Josephat Charo
Mhariri: Abdul-Rahman