Sierra Leon | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 15.03.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Sierra Leon

Sierra Leo ina umuhimu mkubwa katika historia ya biashara ya utumwa wa kuvuka bahari ya Atlantic, kama kituo kikuu cha kuondokea kwa maelfu ya mateka wa Kiafrika.

Mji mkuu wa Sierra Leon Freetown ulianzishwa kama nyumbani kwa watumwa wa zamani walioreseshwa mnamo 1787. Lakini historia ya kisasa ya taifa hilo ilifunikwa na vita vya kikatili vilivyomalizika mwaka 2002, na mrupiko wa karibuni wa virusi vya Ebola vilivyouwa maelfu.