1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Shirika la Umoja wa Mataifa UNHCR, kuhusu swala la wakimbizi wa Somalia

Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wakimbizi, UNHCR, limesema wakaazi wa Somalia wanakumbana kila siku na maafa.

default

Wakimbizi kutoka Somalia wakimbilia nchini Kenya

Wakaazi hao Wanawake na wasichana wanabakwa na maeneo ya raia kushambuliwa kwa makombora, jambo ambalo limewalazimisha zaidi ya watu laki moja kuyakimbia majumba yao katika mwezi uliopita wa Mei peke yake. Fujo na mapigano yamesababisha mwezi uliopita kuuwawa watu wapatao 200.

Othman Miraji amezungumza na msemaji wa Shirika la UNHCR huko Nairobi, Emmanuel Nyabera kuhusu namna Kenya inavowapokea wakimbizi kutoka Somalia.

Mwandishi: Othman Miraji

Mhariri: Josephat CharoSauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 09.06.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/I6KV
 • Tarehe 09.06.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/I6KV