1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shamrashamra za soko la krismas zaanza Ujerumani

Lilian Charles Mtono13 Desemba 2016

Umewahi kunywa mvinyo wa moto ama uliochemshwa msikilizaji? Hizo ni miongoni mwa shughuli zinazofanyika katika soko la Krismas ama Christmas Market nchini Ujerumani. Ungana na Lilian Mtono akikuzungusha katikati ya shamrashamra za soko hilo katika kipindi cha Sura ya Ujerumani.

https://p.dw.com/p/2UC3V