1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

"Serikali isaidie vituo vya yatima wa Ukimwi"

Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Ukimwi, DW imezungumza na Hellen Nkunda anayeendesha kituo cha yatima Tanzania. Anasema serikali lazima itoe msaada zaidi kwa watoto waliopoteza wazazi kwa Ukimwi.

Sikiliza sauti 02:47

Hellen Nkunda katika mahojiano na Isaac Gamba

Sauti na Vidio Kuhusu Mada