Semina ya zana za Atomiki mjini Mombasa,Kenya
9 Julai 2008Matangazo
Kongamano hilo, linalofadhiliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya Atomiki, linalenga kuyaleta pamoja mataifa ya bara la Afrika katika juhudi za kubuni mikakati ya kukabiliana na utupaji movyo wa malimbikizi au kuingizwa bidhaa zenye miunzi ya nusu shishi.
Mwandishi wetu wa Mombasa, Eric Ponda, ametutumia ripoti ifuatayo: