Semina ya ukaguzi wa fedha nchini Tanzania | Matukio ya Kisiasa | DW | 22.05.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Semina ya ukaguzi wa fedha nchini Tanzania

Semina maalum imefanyika mjini Dar es Salaam chini ya uandalizi wa Chuo Kikuu cha State Mjini New York nchini Marekani.

Jiji la Dar es Salaam palipofanyika Semina ya ukaguzi wa fedha

Jiji la Dar es Salaam palipofanyika Semina ya ukaguzi wa fedha

Mkutano huo unalenga kudhibiti rushwa na ubadhirifu serikalini. Hii inatokea baada ya ripoti za fedha za serikali kupotea kutangazwa hadharani. Semina hiyo ilihudhuriwa na wabunge. Mwandishi wetu wa Dar es Salaam Christopher Bhuke alizungumza na Hamad Rashid Mohamed wa Chama cha upinzani cha CUF aliyehudhuria kikao hicho.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com