1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Samani za magurudumu chakavu

Sudi Mnette
22 Juni 2018

Magurudumu ya chakavu ya gari ni miongoni mwa plastiki zenye kuharibu sana mazingira. Jijini Dar es Salaam, msichana Irene Missanga amebuni mradi uitwao Mabaki Mali ambapo hutengeza samani na mapambo ya majumbani kwakutumia mabaki ya tairi chakavu.

https://p.dw.com/p/303qc