1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Salaam za Idd El Hajj

Karibuni waislamu wote duniani watasherehekea sikukuu ya Idd El Hajj.

default

Kwenda Hija Makkah hutakiwa kutekelezwa mara moja kwa kila muislamu mwenye uwezo katika maisha yake.

Msikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle, katika wakati kama huu tunakukaribisha ututumie salaam zako za kusherehekea sikukuu ya Idd El Hajj kwa ndugu na marafiki kwa njia ya Email au hata facebook. Fanya hima!!

 • Tarehe 31.10.2011
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/129xy
 • Tarehe 31.10.2011
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/129xy