RAMALLAH: Mpalestina auawa na wanajeshi wa Israeli
16 Septemba 2007Matangazo
Mwanamgambo wa Kipalestina ameuawa na wanajeshi wa Israeli katika uvamizi uliofanywa mapema leo asubuhi,kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi.Kijana huyo wa miaka 21 alikuwa mwanachama wa Al-Aqsa Martyrs Brigade,kundi lenye mahusiano na chama cha Fatah cha Rais wa Wapalestina,Mahmoud Abbas.