Rais wa Somalia Sharif Sheikh Ahmed ziarani nchini Tanzania | Matukio ya Kisiasa | DW | 10.08.2011
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Rais wa Somalia Sharif Sheikh Ahmed ziarani nchini Tanzania

Akiwa ziarani nchini Tanzania ,rais wa Somalia Sharif Sheikh Ahmed ameusifu uhusiano uliopo baina ya nchi hizo mbili na ameahidi kwamba atahakikisha kuwa uhusiano huo unadumishwa.

Kiongozi huyo leo alikua na mkutano na waandishi habari mjini Dar es salaam,ambapo Mwandishi wetu Anaclet Rwegayura ametutumia ifuatayo:-

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 10.08.2011
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/12DwB
 • Tarehe 10.08.2011
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/12DwB

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com