1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Picha zisizo na maadili zapigwa marufuku Tanzania

Elizabeth Shoo
2 Februari 2018

Serikali ya Tanzania hivi karibuni ilipiga marufuku wasanii kuweka picha katika mitandao ya kijamii ambazo hazina maadili. Wasanii wenyewe wanasema hatua hiyo si sawa kwasababu hiyo ni kazi inayowaingizia kipato. Unadhani mavazi yana nafasi gani katika suala la maadili ya taifa? Ungana naye Elizabeth Shoo katika Vijana Mchakamchaka.

https://p.dw.com/p/2rzCh