1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

OTTAWA:Bush,Harper na Calderon wamaliza mazungumzo

22 Agosti 2007
https://p.dw.com/p/CBX2

Viongozi wa Marekani,Mexico na Canada wamemaliza mazungumzo yao juu ya masuala ya biashara na usalama.

Hatahivyo mazungumzo hayo yaliyohudhuriwa na rais Bush,waziri mkuu wa Canada Stephen Harper na rais Felipe Calderon wa Mexiko yaliibikwa na athari za kimbunga Dean.Mazungmzo hayo yaliyofanyika mjini Ottawa pia yaliibikwa na maandamano.Nchi hizo tatu ni sehemu ya jumuiya ya biashara huru ya Amerika ya Kaskazini.

Kiwango cha biashara baina ya nchi hizo kimefikia dola bilioni 700.