Nyuma ya pazia la elimu ya msichana wa Tanzania
24 Aprili 2012Matangazo
Makala hii ya Stumai George inaangazia maisha ya kila siku ya msichana wa kijijini anayesoma kwenye shule za sekondari za kata nchini Tanzania, changamoto zinazomkabili na nafasi yake, ya familia, ya jamii na ya taasisi za kiraia kupambana na changamoto hizo. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama za spika za masikioni hapo chini.
Makala: Mwanamke na Maendeleo
Mada: Nyuma ya pazia la elimu ya msichana wa Tanzania
Mtayarishaji/Msimulizi: Stumai George
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman