Ngano za Afrika – Kipindi 10 – Tumbiri na Kobe16.03.201116 Machi 2011“Wanaopata, wanaoweka. Anayepata kitu fulani njiani anaruhusiwa kukimiliki” Je, ni rahisi namna hiyo kila mara? Sikiliza hadithi ya kobe na tumbiri mjanja aliyelazimika kupata adhabu kuokoa mkia wake!https://p.dw.com/p/QhFEMatangazo