Ngano za Afrika – Kipindi 08 – Bundi na Nyenje16.03.201116 Machi 2011Siku moja bundi mzee na nyenje kijana wanakuwa majirani. Mwanzoni wanafurahia kuishi kwa pamoja, lakini kadri muda unavyopita bundi anakasirika na nyenje anavunjika moyo. Watafanya nini?https://p.dw.com/p/QhF6Matangazo