1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NEW YORK: Ban Ki-Moon achaguliwa kuwa mrithi wa Kofi Annan

9 Oktoba 2006
https://p.dw.com/p/CD4T

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limemchagua Ban Ki-Moon kumrithi katibu mkuu wa umoja huo, Kofi Annan, wakati wa kikao maalum hii leo. Uamuzi huo unatarajiwa kuidhinishwa na baraza kuu la Umoja wa Mataifa.

Ban Ki-Moon alikuwa mgombea pekee aliyesalia katika kinyang´anyiro cha kuwania wadhifa wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa.