NDJAMENA: Chad yatangaza hali ya hatari maeneo ya mapigano | Habari za Ulimwengu | DW | 16.10.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

NDJAMENA: Chad yatangaza hali ya hatari maeneo ya mapigano

Serikali ya Chad imetangaza hali ya hatari katika mashariki ya nchi,mpakani na jimbo la Sudan la Darfur na kaskazini mwa nchi ambako makundi hasimu ya kikabila yalipambana hivi karibuni. Taarifa ya serikali imesema,hali ya hatari itabakishwa kwa kipindi cha siku 12 ili kuwapa wanajeshi muda wa kuwasaka waasi na kuwanyanganya silaha.Hadi watu 20 wameuawa katika mapigano ya hivi karibuni nchini Chad.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com