Viongozi wa vyama vinavyotaka kujitenga Catalonia wajitangazia ushindi katika uchaguzi wa jimbo. Mataifa 128 yaunga mkono azimio la kubatilisha uamuzi wa Donald Trump juu ya Jerusalem. Na Mkataba wa amani watiwa saini Sudan Kusini baina ya pande zinazokinzana. Papo kwa Papo 22.12.2017.