1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

NAIROBI : Abambwa akitoroka na dola 159,000

Manaume mmoja wa Kenya hapo jana amekamatwa akiwa kwenye kitendo cha kuiba miliono 10 na nusu za Kenya sawa na dola 159,000 katika benki aliokuwa anafanya kazi katika mji w magharibi wa Kisumu.

Mtumishi huyo wa Benki ya The Guardian alikamatwa na mifuko miwili iliosheheni fedha hizo taslimu wakati akitoroka kwa kupitia mlango wa nyuma wa benki hiyo mjini Kisumu mji ulioko kama kilomita 350 kaskazini magharibi ya Nairobi .

Mtumishi huyo alikuwa ametakiwa kuzipeleka fedha hizo katika Benki Kuu ya Kenya lakini badala yake akaamuwa kuchomoka nazo.

 • Tarehe 22.11.2007
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/CQG3
 • Tarehe 22.11.2007
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/CQG3

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com