Mtizamo wa nchi za Kiarabu kuhusu uchaguzi wa Iran
23 Juni 2009Matangazo
Tumetaka kujua hali ikoje katika nchi jirani za kiarabu katika ghuba la uajemi.
Oummilkheir alizungumza na mkuu wa kitengo cha habari cha umoja wa mataifa, Ahmed Rajab huko Dubai na kwanza alielezea jinsi nchi za kiarabu zinavyoyaangalia matukio nchini Iran.
Mahojiano: Oummilkheir Hamidou/Ahmed Rajab
Mhariri: Mohamed Abdulrahman