Lucy John Bosco, aliathiriwa na maradhi ya kisukari akiwa na miaka 11. Mateso yake hayakumkatisha tamaa bali imekuwa chanzo cha ujasiri kuweza kuanzisha kampeni maalumu zakuwaeleimisha wengine njia salama zakuepuka au kuishi na maradhi haya kama anavoeleza.