1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Mripuko wauwa mmoja na kujeruhi mwengine Paris

PARIS

Bomu lililotegwa kwenye kifurushi limeripuka katika ofisi ya wakili katikati ya Paris leo hii na kumuuwa mtu mmoja na kumjeruhi mwengine vibaya sana .

Wizara ya mambo ya ndani imesema watu wengine kadhaa wamefadhaishwa na mripuko huo.

Jengo hilo lina ofisi ya taasisi yenye kufanya utafiti wa maangamizi ya Wayahudi na kampuni ya masuala ya sheria ambayo Nicolas Sarkozy ambaye hivi sasa ni Rais wa Ufaransa aliwahi kuifanyia kazi.

 • Tarehe 06.12.2007
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/CYPG
 • Tarehe 06.12.2007
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/CYPG

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com