MONROVIA: Washukiwa njama ya mapinduzi wakamatwa Liberia | Habari za Ulimwengu | DW | 18.07.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

MONROVIA: Washukiwa njama ya mapinduzi wakamatwa Liberia

Aliekeuwa mkuu wa majeshi nchini Liberia amekamatwa kwa kushikiwa kula njama ya kutaka kuipindua serikali.Naibu waziri wa habari wa Liberia,Gabriel Williams amesema,Charles Julu aliekuwa mkuu wa majeshi katika serikali ya rais wa zamani Samuel Doe,amekamatwa pamoja na watu wengine watano.Akaongezea kuwa habari zaidi zitatolewa baadae,kwani hivi sasa Julu na wenzake wanafanyiwa uchunguzi.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com