1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Mlipuko katika ghala la Silaha nchini Tanzania

Kumetokea na mlipuko katika ghala la jeshi jijini Dar es salaam,Tanzania.

default

Jiji la Dar es Salaam limekumbwa na mlipuko wa ghala la Silaha

Huko nchini Tanzania katika jiji la Dar es Salaam taarifa zinasema kuwa ghala moja la jeshi la nchi hiyo limeripuka na kusababisha madhara na taharuki kubwa jijini humo.

Kutoka huko huko Dar es Salaam mwandishi wetu George Njogopa ametutumia taarifa zaidi.

Mwandishi: George Njogopa
Mhariri: Mohamed AbdulrahmanSauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 29.04.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/Hgca
 • Tarehe 29.04.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/Hgca