1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa Umoja wa Vyama vya Kiliberali duniani wafanyika mjini Belfast,Ireland

16 Mei 2008

Huko mjini Belfast Ireland ya Kaskazini, kunafanyika mkutano wa Umoja wa Vyama Vya Kiliberali duniani, ambapo wajumbe kutoka takriban vyama 100 kutoka sehemu mbalimbali duniani wanahudhuria.

https://p.dw.com/p/E1JX
Mwenyekiti wa chama cha CUF Profesa Ibrahim Lipumba yuko Belfast,Ireland KaskaziniPicha: DW

Miongoni mwao ni Rais Abdulaye Wade wa Senegal, Morgan Tsvangirai kutoka chama cha upinzani cha MDC nchini Zimbabwe na Profesa Ibrahim Lipumba mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, ambaye alizungumza na Aboubakary Liongo, kwanza akielezea madhumuni ya mkutano huo.