Mkutano wa Uchumi duniani wafanyika nchini Tanzania05.05.20105 Mei 2010Mkutano wa uchumi duniani ambao unazingatia nafasi ya Afrika, unaanza leo mjini Dar es salaam.https://p.dw.com/p/NEsIJiji la Dar Es Salaam kunakofanyika mkutano wa Uchumi dunianiPicha: DW /Maya DreyerMatangazoWajumbe watazingatia jinsi Afrika inavyoweza kujikwamua kimaendeleo. Mwandishi wetu mjini Dar es salaam George Njogopa ametutumia taarifa zaidi. Mtayarishaji:George Njogopa Mpitiaji:Sekione Kitojo