Mkutano wa kutathmini mizozo katika maziwa makuu ulioandaliwa na wakfu wa Konrad Adenauer na Hans Seidel ya hapa Ujerumani
6 Oktoba 2009Matangazo
Zingatio ni ukiukaji wa haki za binaadamu kuanzia mauaji, ubakaji na
kuingizwa watoto katika mapigano. Athari za mizozo ni pamoja na
magonjwa , utapia mlo na watu kuwa wakimbizi. Miongoni mwa
washiriki katika mkutano huo, Waziri mkuu wa zamani wa
Tanzania Frederick Sumaye ambaye alizungumza na Jane Nyingi kwa
njia ya simu na kwanza anaelezea mchango wake katika mkutano
huo ?