Mkutano wa Benki za Posta Kisiwani Zanzibar14.05.200814 Mei 2008Mkutano wa 14 wa wakurugenzi wa benki za posta Afrika na taasisi ya benki za akiba duniani, WSBI, unafanyika visiwani Zanzibar.https://p.dw.com/p/DzZcMji Mkongwe wa Zanzibar kunakofanyika mkutano wa Benki za PostaPicha: DW /Maya DreyerMatangazoAjenda kubwa katika mkutano huo ni kukuza na kuimarisha utumiaji wa huduma za kifedha, yaani benki, kwa wananchi wote , hata wa vijijini. Mwandishi wetu Salma Said ametutumia ripoti ifuatayo kutoka Zanzibar.