1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 43 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

26 Aprili 2007

Leo ni miaka 43 ya muungano wa iliyokuwa Tanganyika na visiwa vya Zanzibar.

https://p.dw.com/p/CHFP

Hata hivyo kumekuwepo na malalamiko kutoka pande zote mbili juu ya kasoro mbali mbali ikiwa ni pamoja na muundo wa muungano huo.

Saumu Mwasimba amezungumza na waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais anayeshughulikia muungano Bwana Hussein Mwinyi na kwanza alimuuliza je haya malalamiko yanayotolewa kuhusu muungano vipi yanavyoshughulikiwa na ofisi yake.