1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgogoro wa Nzouani visiwani Komoro bado haujapatiwa ufumbuzi

24 Oktoba 2007

Visiwani Komoro, mgogoro wa kisiwa cha Nzouani bado kupatiwa ufumbuzi wa kudumu, licha ya Umoja wa Afrika kuwawekea vikwazo viongozi wa kisiwa hicho.

https://p.dw.com/p/C7gO

Kufuatia hali halisi ya kisiwa hicho kutaka kujitenga na visiwa vingine vya Komoro, Rais wa Komoro, Ahmed Abdalla Sambi, akijumuika na wanajeshi wa jeshi la Komoro yuko katika mazoezi ya kijeshi, ikiwa ni hatua mojawapo ya kutaka kukivamia kisiwa cha Nzouani wakati wowote kuanzia sasa.

Zaidi anawaletea Abdulrahman Baramia kutoka Moroni.