1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mfumo wa usafiri Ujerumani

John Juma/M M T24 Machi 2017

Kila anayezuru mahali, hulazimika kujua angalau aina za usafiri zilizopo katika eneo hilo. Sababu ikiwa ni kumwezesha kujua anavyostahili kujiandaa ndipo afike maeneo maalum anakokwenda bila matatizo. Katika makala ya Sura ya Ujerumani, tunaangazia aina za usafiri nchini Ujerumani na kufafanua kwa nini aina hizo zimejizolea sifa sufufu ulimwenguni kote.

https://p.dw.com/p/2ZtEx
Kila usafiri wa umma una ratiba inayoonyesha muda usafiri utakapowasili kituoni
Kila usafiri wa umma una ratiba inayoonyesha muda usafiri utakapowasili kituoni Picha: DW
Mtandao bora wa barabara za lami unawawezesha watu kusafiri kutoka mji mmoja hadi mwingine kwa haraka na salama
Mtandao bora wa barabara za lami unawawezesha watu kusafiri kutoka mji mmoja hadi mwingine kwa haraka na salama Picha: Getty Images/J. Simon
Wajerumani wengi wanapenda kuendesha baisikeli, hasa wakati wa kiangazi
Wajerumani wengi wanapenda kuendesha baisikeli, hasa wakati wa kiangazi Picha: picture-alliance/Bildagentur-online/Klein