1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mfumo Dume Wakwamisha Wanawake Afrika

Salma mzee/M M T16 Julai 2015

Mfumo dume ni matokeo ya dhana za kurithi, imani za kidini, mila na tamaduni ambazo zinamkandamiza mwanamke na mtoto wa kike. Kwa zaidi sikiliza makala hii iliyoandaliwa na Salma Mkalibala.

https://p.dw.com/p/1FzNx