1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mbuga ya Serengeti makutano ya binaadamu na wanyama

14 Septemba 2023

Baada ya takriban miaka miwili ya janga la Uviko-19 imerejea tena ile hali ya wanyama kukutana na binaadamu huko katika hifadhi ya Serengeti nchini Tanzania. Zaidi tazama vidio iliyoandaliwa na Ahmad Juma.

https://p.dw.com/p/4WLch