1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni: 09.09.2017

Iddi Ssessanga
9 Septemba 2017

Mgogoro kati ya Saudi Arabia na Qatar wazidi makali baada ya Saudi kukasirishwa na simu ya Emir wa Qatar. Poland yasisitiza Ujerumani inapaswa kuilipa fidia ya uharibifu uliotokana na vita kuu vya pili vya dunia. Uturuki yawatahadharisha raia wake dhidi ya kusafiri Ujerumani wakati wa kampeni za uchaguzi.

https://p.dw.com/p/2je2b