1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 12.01.2017

Sylvia Mwehozi
12 Januari 2017

Tuliyo nayo: Imetimia miaka 53 tangu kufanyika mapinduzi ya Zanzibar yaliyouondoa utawala wa Sultan. Mwaka huu wa 2017 unaonekana kuwa na changamoto katika maeneo kadhaa nchini Tanzania, Mkutano wa 27 wa kilele kati ya viongozi wa Afrika na Ufaransa unaanza kesho na kuendelea hadi Ijumaa ijayo mjini Bamako Mali.

https://p.dw.com/p/2Vg2L