1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Redio

Matangazo kupitia IPhone

Kuanzia sasa utaweza kusoma makala na kusikiliza matangazo kwa kutumia IPhone

ARCHIV - Ein Apple iPhone der 4. Generation liegt am 21.07.2010 in Berlin vor einer graphischen Darstellung der Entwicklung der Apple-Aktie. Apple hat unter dem neuen Chef Cook ein phänomenales Weihnachtsquartal hingelegt. Noch nie hat der Konzern in einem Vierteljahr so viele iPhones verkauft, noch nie so viel verdient - und sitzt auf einem Geldberg von fast 100 Milliarden Dollar. Foto: Tobias Kleinschmidt dpa +++(c) dpa - Bildfunk+++

Apple iPhone

Idhaa ya Kimataifa ya DW imekuwa ya kwanza kutoa huduma kwa kutumia teknolojia ya Apple kwa lugha ya Kiswahili.

Kwa kupitia simu yako ya IPhone unaweza kuanganishwa wa mtandao wetu moja kwa moja.

Huduma hii inapatikana bure.