1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Marekani kuutathmini upya mpango wa nyuklia wa Korea Kaskazini

Grace Kabogo
20 Aprili 2017

Marekani kuutathmini upya mpango wa nyuklia wa Korea Kaskazini; Umoja wa Mataifa umegundua makaburi mengine mapya 17 ya watu wengi kwenye jimbo la Kasai, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo; na timu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani yaondolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya, baada ya kufungwa magoli 3-1 na Monaco ya Ufaransa.

https://p.dw.com/p/2bcb8