Marekani kukutana na Iran, SyriaCharles Mwebeya28.02.200728 Februari 2007Marekani imesema iko tayari kuhudhuria mkutano wa pamoja na baadhi ya nchi za eneo la mashariki ya kati mwezi ujao, zikiwamo pia Syria na Iran ili kutafuta suluhisho la amani nchini Iraq.https://p.dw.com/p/CHJEWaziri wa mambo ya nje wa Marekani Bi. Condoleeza Rice .Picha: APMatangazo