Maonyesho ya sherehe za utamaduni wa Ujerumani jijini Nairobi,Kenya
19 Oktoba 2009Matangazo
Sherehe na maonyesho hayo yanaandaliwa mjini
Nairobi na Ubalozi wa Ujerumani kwa ushirikiano wa Taasisi ya Mafunzo ya
Lugha ya Kijerumani Goethe Institute.
Mwandishi wetu kutoka Nairobi, Alfred Kiti ametuandalia taarifa ifuatayo.