JamiiMalaria bado kitisho dunianiTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiLilian Mtono25.04.201825 Aprili 2018Dunia inaadhimisha siku ya Malaria, huku shirika la afya duniani WHO likisema kitisho bado ni kikubwa. Venezuela yatajwa kukabiliwa na kitisho zaidi cha maradhi hayo. Papo kwa Papo:25.04.2018.https://p.dw.com/p/2wdSFMatangazo