1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maisha ya wafanyakazi wa majumbani Arabuni yako hatarini

14 Julai 2011

Licha ya watu kutoka mataifa ya Asia na Afrika kutamani kwenda kufanya kazi mbalimbali, zikiwemo za majumbani, kwenye mataifa ya Kiarabu, taarifa zinathibitisha kuwa maisha ya wahamiaji Arabuni yako hatarini sana.

https://p.dw.com/p/RZlJ
Wafanyakazi kutoka Indonesia katika nchi za Kiarabu
Wafanyakazi kutoka Indonesia katika nchi za KiarabuPicha: Rebecca Henschke

Sudi Mnette anaangalia jaala ya wafanyakazi wahamiaji katika mataifa ya Kiarabu, ambao wanajikuta katika unyanyasaji mkubwa wa haki za binaadamu, unaohatarisha hata maisha yao.

Mtayarishaji/Mtangazaji: Sudi Mnette
Mhariri: Othman Miraji