Maisha ya mapambano katika viwanda vya chuma Tanzania | Matukio ya Afrika | DW | 31.05.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Maisha ya mapambano katika viwanda vya chuma Tanzania

Viwanda vinavyotengeneza bidhaa za chuma nchini Tanzania vinavyoongoza kwa mazingira duni ya kazi, vikiwa havina vifaa vya kujikinga na majanga licha ya mazingira hatari yanayoambatana na shughuli hiyo.

Mgodi wa chuma Afrika

Mgodi wa chuma Afrika

Stumai George anaangazia namna hali ilivyo kwenye viwanda vinavyozalisha bidhaa za chuma nchini Tanzania na namna maisha ya watu yanavyoteseka katika jitihada za kujitafutia riziki. Kusikiliza kipindi hiki, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Makala: Makala Yetu Leo
Mada: Viwanda vya Chuma Tanzania
Mtayarishaji/Mtangazaji: Stumai George
Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada