Mahojiano na waziri wa Utalii wa Kenya kuhusu hali ya kisiasa nchini | Matukio ya Kisiasa | DW | 21.01.2011
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mahojiano na waziri wa Utalii wa Kenya kuhusu hali ya kisiasa nchini

Mivutano katika vyama vya kisiasa imekuwa ikishuhudiwa nchini Kenya tangu kuundwa kwa serikali ya muungano.

default

Maonyesho ya Utalii mjini Stuttgart ambako waziri wa Utalii Bw.Najib Balala alihudhuria

Vyama vitatu vikuu ambavyo ni ODM,PNU na ODM Kenya,viliahidi kuunganisha ilani zao za uchaguzi na kuwa moja chini ya muungano huo.

Ni miaka mitatu baada ya kuundwa serikali hiyo ya muungano, je hili limefikia wapi? Waziri wa utalii nchini humo, Najib Balala, amekuwa hapa Ujerumani, na Maryam Dodo Abdalla alipata nafasi ya kuzungumza naye kuhusu maendeleo ya kisiasa nchini humo. Waziri Balala alianza kwa kugusia kuhusu manifesto hizo.

Mwandishi: Maryam Abdalla

Mhariri: Miraji Othman

 • Tarehe 21.01.2011
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/100XG
 • Tarehe 21.01.2011
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/100XG

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com