1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Magufuli mwenye nguvu zote

Khelef Mohammed Mohammed1 Agosti 2016

Baada ya Rais wa Tanzania, John Magufuli, kukabidhiwa uenyekiti wa chama tawala CCM sasa ana mamlaka yote anayopaswa kuwa nayo. Je, anaitumiaje nafasi hiyo na vipi kuhusu wale wanaosema kuwa yeye ni dikteta? Hiyo ndiyo mada ya kipindi cha Maoni kinachoongozwa na Mohammed Khelef. Wageni wake ni Gwappo Mwakatobe, Rashid Chilumba na Godlisten Malisa.

https://p.dw.com/p/1JZjW