1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mabalozi wa Umoja wa Ulaya walaani machafuko huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

28 Machi 2007

Mabalozi wa Umoja wa Mataifa ya Ulaya nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamelaani machafuko yaliotokea mjini Kinshasa na yaliosababisha vifo vya watu zaidi ya mia tano kulingana na balozi wa Ujerumani nchini humo.

https://p.dw.com/p/CHHM
Wanajeshi wa Serikali ya Kongo wakizunguka katika mitaa ya mjini Kinshasa baada ya machafuko
Wanajeshi wa Serikali ya Kongo wakizunguka katika mitaa ya mjini Kinshasa baada ya machafukoPicha: AP

Umoja wa Ulaya umesema hautaingia mkono serikali ya nchi hiyo ikiwa upinzani hautapewa nafasi ya kutoa maoni yake. Wakati huo huo Afrika ya Kusini inasema itampa hifadhi Jean Pierre Bemba kwa muda wote anaotaka.

Ripoti kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo kutoka Kinshasa.