1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Lissu ashikilia Tanzania njaa ipo

Mohammed Abdulrahman
19 Januari 2017

Wakati Rais, John Pombe Magufuli, akisema Tanzania hakuna njaa, mbunge wa chama kikuu cha upinzani cha Chadema, Tundu Lissu, anashikilia kuwa njaa ipo nchini humo. Katika Kinaga Ubaga, Mohammed Abdulrahman, amezungumza na Lissu

https://p.dw.com/p/2W2CO